|
Elias Tengesa
Chairperson
Kinder garden teacher, and hiv-educator. Is teaching people English and Swahili on a private basis.
Mwenyekiti
Ni mwalimu wa shule ya chekechea ya St.Benignis iliyopo Ifakara, pia ni muelimishaji wa Ukimwi. Anafundisha kiingereza na kiswahili kwa muda wake waziada.
|
|
William Lyaheja
Secretary
Teacher in Enlish, Swahili and history at Kilombero Secondary School.
Kitabu
Ni mwalimu wa lugha na historia katika shule ya sekondari ya Kilombero.
|
|
Henrico Kalunde
Treasurer
Store keeper at the St. Francis Hospital farmacy.
Mweka hazina
Ni mtunza stoo ya madawa katika St. Francis Hospitali.
|
|
Wilson S.M. Nyakachewa
Board member
Pastor of ELCT - HQ Ifakara as General Secretary of Diocese.
Wanachama wengine wa Bodi
Ni mchungaji na ni katibu mkuu wa kanisa la KKKT, jimbo la Ulanga Kilombero au - ELCT - HQ Ifakara as General Secretary of the Diocese.
|
|
Maria Ndogoti
Board member
Teacher at the IWWA women weavers school.
Wanachama wengine wa Bodi Ni mwalimu katika shule ya wafumaji ya IWWA.
|
|
Theresia Mwanyeho
Board member
Manager of the Benignis Center internet café.
Wanachama wengine wa Bodi
Ni mfakazi mkuu wa chumba cha mawasiliano ya kompyuta katika Benignis Center.
|
|
Lucas Michael Liombechi
Board member
Teacher and leader of the Idete school for mentally impaired children.
Wanachama wengine wa Bodi
Ni mwalimu na ndio muanzilishi wa shule ya watoto walemavu wa akili Idete.
|
|
Hussein Mtolela
Supplementary board member
Freelance video maker.
Wajumbe katika Bodi
Anajishughulisha na mambo mbalimbali ikiwemo upigaji wa picha ya video.
|
|
Adamu Kalolo
Supplementary board member Carpenter and HIV-educator.
Wajumbe katika Bodi Ni fundi seremala na muelimishaji juu ya Ukimwi.
|