I
F A K A R A   
C
O M M U N I T Y   
G
R O U P


Frontpage   About ICG   Members   Activities   Contact   Links
                     

Links
Viungo

Kilangoro

This is the partnership organization of ICG. Kilangoro is a small Danish NGO with approximately 50 members. The Kilangoro was formed by former Danish development workers in the Kilombero, Ulanga and Morogoro-districts.
Hawa ni washirika wa ICG. Kilangoro ni shirika Dogo lisilo la kiserikali la wadenish ambalo lina takribani wanachama 50. Kilangoro lilianzishwa na wadenish ambao walikuwa wafanyakazi katika wilaya za Klombero, Ulanga na Morogoro.

WOY - White Orange Youth

White Orange Youth is a group of dedicated volunteers working to provide youth in Tanzania with information about HIV/AIDS that will help them to protect their lives.
White Orange Youth ni kikundi kinacho wahusisha wafanyakazi wa kujitolea kuwafikia vijana ndani ya Tanzania kwa ujumbe kuhusu Ukimwi, ujumbe ambao utawasaidia kulinda maisha yao.

Government site on HIV

The Tanzanian Government site of information about HIV/AIDS in Tanzania.
Eneo la serikali ya Tanzania katika mtandao inayo husu maelezo juu ya Ukimwi nchini.

WHO on HIV in Tanzania

Information from WHO about the spread of HIV/AIDS in Tanzania.
Maelezo kutoka shirika la afya Duniani (WHO) kuhusu kuenea kwa Ukimwi Tanzania.

Moyo wa Afrika

The site of the Danish volunteers setting up cooporation between Kilangoro and ICG. Here you find pictures and articles in Danish about ICG.
Ni eneo katika mtandao linalo husu watu wa kujitolea kutoka Denmark wanao uunda ushirikiano kati ya Kilangoro na ICG. Hapa zinapatikana picha na majarida yanayo husu ICG kwa lugha ya kidenish.

English-Swahili dictionary/kamusi

The best English-Swahili dictionary found on the internet.
Hii ni kamusi bora ya kiingereza kiswahili au kiswahili-kiingereza inayo patikana katika mtandao wa kompyuta (internet).

Made by k82.dk