I
F A K A R A   
C
O M M U N I T Y   
G
R O U P


Frontpage   About ICG   Members   Activities   Contact   Links
                     

About ICG

Organizational Structure

ICG is a democratic organization with a yearly vote for the board at the General Assembly. The General Assembly is the highest authority of ICG. The 7 members of the board run ICG during the year.

ICG wishes to be independent of Govenment and Church institutions, but can go into cooperation with whichever organization or institution that shares the goals of the ICG.

In ICG members of all tribes and religions are welcomed and women are playing an active part along with men. Young people can participate in the ICG Youth Branch.

Read the constitution of ICG HERE. You'll need Acrobat Reader to open this document. The program can be downloaded for free HERE.


Goals

ICG hopes to have a deep rooting in the community of the Ifakara area in many years to come. ICG maintain a high number of members in order to have an effect on the community of Ifakara as well as on the official institutions. ICG will be carrying out projects with local volunteers as well as partners from different NGOs, CBOs and institutions. Over the years to come ICG hopes to have an impact on both the conditions of Ifakara and the willingness of the local people to join together in order to fight poverty and the problems faced by the community. Together we are strong!


Cooperation

ICG is in close cooperation with the Danish NGO Kilangoro, which specializes in the Kilombero, Ulanga and Morogoro districts.

ICG is also in a close relationship with IPHA+, which is an organization for people in the Kilombero district living with HIV/AIDS.


Projects

  • Ifakara Women Weavers Association (IWWA)
    IWWA is one of the partaker projects in ICG. IWWA is a forum for cooporation amongst 87 weavers, all of them women. The IWWA school of weavers is supplying young women of the Kilombero and Ulanga districts with a opportunity rarely given to women here: To be financially independent.

  • The Idete School for Mentally Impaired Children
    In this part of Africa most retarded children have no opportunity to join any school or institution. Instead they are left at home by parents who are uneducated about the needs and life possibilities of children of this kind. In the rural village of Idete ten children have been collected so far to join a class where they are being taught different life skills. They are given a chance to have a social life and to develop into grownups who are able to contribute. And they get to feel happy in this place where their abilities are being nurtured. They are no longer beeing mocked or hidden away as shameful to their families.

  • HIV/AIDS education
    One of the single biggest problems of the Ifakara Area is HIV/AIDS, and this is the case in most of sub-saharan Africa. Ignorance about the disease and the opportunities of protecting oneself from it is destroying the future generations of Africa. The affected people living with HIV are often hiding their disease or being shone away by their community and family if they stand up and tell about their condition. The ICG wishes to do it's part in changing this situation by teaching school children as well as grownups about protection against HIV. Also people have to know, that those who are affected should not be rated as lower than the unaffected. In this way more people will get tested hopefully. IPHA+ will be helping ICG to spread the message.


Kuhusu ICG

Muundo wa shirika

ICG ni shirika la kidemokrasia lenye kura ya uchaguzi ya mwaka mmoja katika mkutano mkuu wa Bodi. Bodi ni uongozi wa juu katika ICG. Viongozi saba (7) wa bodi ndio wanao iongoza ICG kwa mwaka.
ICG itakuwa ni ya kujitegemea na sio kutegemea serikali au shirika fulani la kidini, isipokuwa inawezakuwa na ushirikiano na na taasisi au shirika lolote ambalo litakuwa na mawazo sawa kama ICG.

Malengo

ICG ina matumaini makubwa ya kujiimarisha katika jamii ya eneo zima la Ifakara katika miaka ijayo. ICG ina tegemea kuwa na wanachama wengi ili tuweze kuifikia jamii ya Ifakara na hata ofisi za kitaasisi. ICG itakuwa inapokea au kuchukua miradi midogo midogo ya kijamii na watu wa kujitolea na hata washirika kutoka taasisi mbalimbali na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs na CBOs). Katika miaka ijayo, ICG inalengo la kuwa na mtazamo sawa kati ya hali halisi ya Ifakara na matumaini ya watu wote wa kawaida kujiunga na ICG ili kupambana na Umasikini, maradhi na matatizo yanayo ikumba jamii. "Kwa pamoja tupo imara".

Ushirikiano

ICG ina ushirikiano wa karibu sana na shirika lisilo la kiserikali lililoko nchini Denmark ambalo linaitwa kilangoro (NGO), ambalo linajihusisha sana katika wilaya za Klombero, Ulanga na Morogoro. Pia ICG ina uhusiano wa karibu sana na kikundi cha watu wanao ishi na virusi vya Ukimwi kiitwacho IPHA+ chenye makao yake makuu Ifakara kibaoni.


Miradi

  • Miradi ambayo tayari ipo chini ya ICG ni Ifakara Women Weavers Assosiation (IWWA).
    IWWA ni mahali pa ushirikiano kati ya wafumaji 87, wote ni wanawake. Shule ya wafumaji ya IWWA ina wapokea wasicha wa kutoka wilaya za Kilombero na Ulanga kwa nafasi ambayo imetolewa kwa mwanamke kujitegemea kifedha na kimaisha.

  • Shule ya watoto wenye ulemavu wa akili Idete
    Katika eneo hili la Afrika wengi wa wenye upungufu wa akili hawapewi nafasi ya kujiunga na shule yoyote au hata taasisi Fulani. Kinyume chake huuachwa nyumabni na hata kufungiwa mirango na kuonekana kuwa ni mikosi katika familia na wazazi wasio elimika kuhusu mahitaji na uwezekano wa kimaisha wa watoto wa aina hiyo. Katika kijiji cha Idete kumepatikana watoto kumi (10) mpaka sasa ambao wenye ulemavu wa akili, ambao wamekusanywa kwa pamoja kushiriki darasa ambalo wanafundishwa mambo mbalimbali ya kiwemo ya kimaisha. Wana pewa nafasi ya kuwa na maisha ya kijamii na kujiendeleza katika wakuaji ambao watakao kuwa wachangiaji katika jamii kama watu wengine. Na kujisikia wenye furaha katika eneo hilo ambako hali yao haidharauliki wala kufichwa na kuwa kama ni hali ya haibu (kutengwa na kunyanyapaliwa).

  • Elimu ya Ukimwi (HIV/AIDS)
    Moja ya matatizo makubwa katika eneo hili la Ifakara ni Ukimwi (HIV/AIDS) na hili ni tatizo kubwa hasa katika nchi zilizoko chini ya jangwa la sahara. Ukosefu wa elimu ya kutosha kuhusu magonjwa au ugonjwa wa ukimwi na nafasi ya kujilinda mtu pekee ina hatarisha na kuharibu kama sio kukipoteza kizazi kijacho cha Afrika. Watu walioathirika ambao wanaishi na Virusi na Ukimwi, siku zote wana jificha na kuficha ukweli wa ugonjwa walio nao, au kwa kuogopa kutengwa na ndugu na jamaa wa familia zao na pengine jamii endapo watajitokeza na kujitangaza kuhusu hali zao. ICG inategemea kufanya mabadiliko katika hali hiyo kwa kufundisha watoto mashuleni wakiwemo na watu wazima kuhusu njia na jinsi ya kujikinga na kujilinda na Ukimwi (HIV/AIDS) Hii itakuwa pia kwa njia ya mikutano ya adhara na waathirika kujitangaza kwa hiari yao wenyewe. Na pia kuwajulisha watu kuwa wanatakiwa kujua kuwa wale wanao ishi na virusi vya Ukimwi kutengwa na kufanywa kama wao ni watu wa chini sana kuliko wale ambao hawaja athirika Sio shihi. Kwa njia hii tuna imani kuwa watu wengi watajitokeza kupima na kujua hali za afya zao kwa hiari zao. IPHA+ itakuwa bega kwa bega na ICG katika kueneza na kuufikisha ujumbe kwa jamii.

Made by k82.dk