I
F A K A R A   
C
O M M U N I T Y   
G
R O U P


Frontpage   About ICG   Members   Activities   Contact   Links
                     

Welcome!

Ifakara Community Group (ICG) is a community-based organization formed by the members themselves who are all citizens of Ifakara, Tanzania.

ICG will take up problems faced by the community. ICG will be a meeting place for those people of the Ifakara area who wish to better the life conditions in the community. This will be done by project making and a tireless effort by the members to contribute to a higher level of awareness among their fellow citizens about such issues as HIV/AIDS, civil rights, and the condition of youths and children.

Karibu!

Ifakara Community Group (ICG) ni mradi ulio jishirikisha sana katika upande wa jamii, ambao uliundwa na wanachama wenyewe ambao ni watanzania kutoka Ifakara.

ICG itashughurikia matatizo ambayo yanaikumba jamii. ICG itakuwa sehemu ya makutano ya watu wengi wa maeneo ya Ifakara ambao wanategemea kuboresha hali ya maisha ya jamii. Hii itafanyika moja kwa moja kupitia uandaaji wa miradi na kwa namna nyingine kupitia michango ya wanachama kwa kiasi kikubwa na umakini wa ali ya juu kupitia wananchi wenzao kwa mambo kama vile HIV/AIDS (Ukimwi), haki na hali halisi za Vijana na Watoto.

Made by k82.dk